2017
KAIRUKI: SERIKALI HAITAMVUMILIA MTUMISHI MWENYE VYETI FEKI
Inakadiriwa kuwa watumishi 4,300 wapya wanataajiriwa kuajiriwa katika kada ya elimu na wasanifu wa maabara ambapo ajira hizo mpya zinakuja baada ya kukamilika kwa zoezi zima la kuhakiki watumishi hewa.Hayo yamebainishwa mkoani Tabora na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma Mh. Angela Kairuki, wakati akizungumza na watumishi na wanachuo, ambapo amesema kwa…
KIRAFIKI: SERENGETI BOYS YAITANDIKA BURUNDI BAO 2-0 KAITABA MJINI BUKOBA
Faustine Ruta, Bukoba Timu ya Vijana U17 ya Burudi kwenye uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba imepoteza mchezo wake wa pili tena wa kirafiki baada ya kukubali kuchapwa bao 2-0 na Timu ya Serengeti Boys ya jijini Dar es salaam inayojiandaa na safari ya Gabon. Mchezo wake wa kwanza wa kirafiki walinyukwa bao 3-0 na Timu…
MBWANA SAMATTA AZIDI KUWASHA MOTO ULAYA,AFUNGA TENA TIMU YAKE IKISHINDA BAO 4
Ligi Kuu Ubelgiji imeendelea tena leo Jumamosi ya April 1 2017 kwa KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta kuikaribisha Lokeren katika mchezo wao wa kwanza wa play offs wa Kundi B wa Ligi Kuu Ubelgiji.Mbwana Samatta ambaye alikuwa katika kikosi cha kwanza cha KRC Genk kilichocheza dhidi ya Lokeren alifanikiwa kuisaidia timu yake ya…
LIST MPYA,YA 10 BORA YA WATU MATAJIRI NCHINI TANZANIA
KATI ya miaka ya 1960 hadi 1980, mtu kuwa tajiri alionekana ni hatari kwa taifa, tena mali zake alizimiliki kwa kificho, vinginevyo angeitwa mhujumu uchumi. Lakini kwa sasa mambo yamebadilika, taratibu sera za kibepari zinatawala, ujamaa unapewa kisogo. Mtu kama ni mbunifu, ana nidhamu ya kutofuja pesa na anafanya kazi sana kwa nini asiwe tajiri?…
RAIS MAGUFULI : OLE WAKE ATAKAYEIZUIA KAMATI YA KUCHUNGUZA MCHANGA WA DHAHABU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli jana tarehe 01 Aprili, 2017 aliwaapisha wajumbe wa kamati maalum ya kuchunguza kiwango na aina ya madini yaliyomo kwenye mchanga wenye madini ulio ndani ya makontena yaliyopo katika maeneo mbalimbali hapa nchini.Hafla ya kiapo kwa wajumbe wa kamati hiyo imefanyika Ikulu Jijini Dar…
Mauaji ya Kutisha Jijini DAR, Vibaka Wabanikwa kama Kuku wa Kuchoma !!
KUMRADH kwa picha mbaya na za kutisha.Tunaungana na Jeshi la Polisi nchini kupinga unyama huu wanaofanyiwa binadamu wenzetu licha ya kwamba wanakuwa waharifu hii ni kosa kisheria.
SHIGONGO ATOA POVU KWA SALLAM WAKISOMA WANAWEZA KUZIMIA.. SOMA KISHA TOA MAONI
Je, yule kijana wa Tandale, Temeke, Mbagala mwenye fulana kubwa iliyoandikwa WCB ataweza kuingia kwa gharama hiyo? Jibu rahisi ni kwamba hatoweza. Ni lazima afikirie ajue kwamba gharama anazotoza sehemu nyingine ziwe tofauti na Tanzania, au azifanyie gharama hizo kampuni kubwa za mitandao ya simu na vinywaji lakini si mtu binafsi. Mara nyingi amekuwa akisema…
Mzee Yusuph Amuota Daimond Aandika mambo mazito,Soma Hapa
Msanii nguli aliyestaafu muziki wa Taarabu Mzee Yusuf huwezi kumtupa nje ya mitandao yakijamii ingawaje ametangaza kuachana na muziki wa kidunia na kuamua kumtumikia Allah lakini bado humkosi mitandaoni. Leo mapema alivamia kwenye ukurasa wa Instagram Diamond Platnumz na kuacha Comment ambayo ilisomeka kama ushauri wake alioupata akiwa kwenye jozi na ushauri huo ambao aliupata…
DAWA MPYA YA KUONGEZA HIPS KWA MUONEKANO MWENGINE KABISA
HALLO HALLO HALLO.🗣🗣🗣🗣🚨🚨🚨DAWA MPYA YA KUONGEZA HIPS KWA MUONEKANO MWENGINE KABISA YANI VIDONGE 15 MABADILIKO CHAP CHAP KWA MUDA MFUPI2.TAYARI WALIOZI2MIA WANASEMA NI BALAAA WENYEWE WANAZIITA ORANGE NJOO JIPATIE KWA 65000 USICHELEWE MANA NI BEI YA OFFA OFFA OFFA KABISA 1⃣DAWA MPYA YA HIPS NA KUONGEZA MAKALIO,MIGUU,INAKUCHONGA KIUNO,MAPAJA YANI UNAKUA NAMBA NANE VILE UNAVYOTAKA UWE…
Hadithi ya kusisimuwa- mimba ya jini
SAA mbili kasorobo, Mustafa baada ya kufika ofisini, kabla ya kuanza kazi haja ilimshika na kuelekea msalani. Baada ya kumaliza kujisaidia alikwenda kwenye sinki la kusafishia mikono ili ajisafishe. Alivua pete ya ndoa na kuiweka juu ya sinki kisha alijimwagia sabuni ya maji mikononi na kuanza kunawa. Simu iliyokuwa mfukoni ilianza kuita, kwa vile hakuweka…
SHEMEJI WA.COM
‘Shairi lifuatalo ni utenzi wakubuni haujaakisi tukio wala kisa chakweli kutoka kwenye jamii, utenzi huu unaakisi hali ya maisha yalivyo kwa sasa na undugu usivyo na thamani katika mapenzi alinifata chumbani muda natoka kuoga akanivaa mauongoni ukanitawala woga nguo kazitupa chini shemeji wa dot.com kaka yako hayupo kasafiri kitambo shemeji jilie vyako usizilete Tambo nina…
MTU NA TUWE; SEHEMU YA KWANZA
“Zawadi nzuri ambayo nipo nayo na nitakuwa nayo daima ni talanta ya uandishi niliyojaaliwa na Mungu, nalazimika kukuzawadia simulizi hii nzuri ya Mapenzi katika msimu huu wa Mahusiano mema kwa wapendanao, msimu wa valentine day, NI KISA CHAKUBUNI AMBACHO NIMEJITAHIDI KUKIMEGA KATIKA SIMULIZI YANGU NZIMA IITWAYO MTU NA MTUWE, NIMEWEZA KUMEGA BAADHI YA VIPANDE NIKAPATA…
SIMULIZI >USIMUAMINI
Bora tu kuwa muwazi nakupinga uongo wakumpamba kwa maneno mazuri yanayomfanya umuone mwema! fungu utakaloniweka utajua mwenyewe ila mimi nakuambia ukweli USIMUAMINI! ndio, usimuamini kwa lolote asemalo labda akuthibitishie kwa vitendo nawewe ujiridhishe kweli ametenda yeye maana uongo upo hata kwenye utendaji! tangu kuzaliwa kwake jicho hili limeona mengi nakujifunza vingi pia, moja ya fundisho…
SIMULIZI >UJUMBE KWA WAKE ZANGU
”Katika dunia yetu ya leo malezi ni suala ambalo halipatilizwi sana, wazazi wamekuwa wapuuzaji hivyo kufanya vijana wa kiume kutotambua maana ya uanaume wao na vijana wa kike kutoiona thamani yao, kama muandishi nimeona haja yakukumbushia suala la malezi kwa mtindo huu…ifuatayo ni barua kwa wakwe zangu” Na BIN ZONGO Bado sijaoa lakini naamini ipo…