Faustine Ruta, Bukoba
Timu ya Vijana U17 ya Burudi kwenye uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba imepoteza mchezo wake wa pili tena wa kirafiki baada ya kukubali kuchapwa bao 2-0 na Timu ya Serengeti Boys ya jijini Dar es salaam inayojiandaa na safari ya Gabon. Mchezo wake wa kwanza wa kirafiki walinyukwa bao 3-0 na Timu ya Vijana maarufu kwa jina la Serengeti Boys katika uwanja huo huo wa Kaitaba.
Katika mchezo huo bao la kwanza lilifungwa na Issa Abdu
Makamba dakika ya 36 kipindi cha kwanza jezi namba 6 mgongoni aliyelifunga kwa mpira wa adhabu (frii kiki) na kuzama moja kwa moja. Bao la pili lilifungwa dakika za majeruhi dakika ya 89 na Ibrahim Abdallah na mtanange kumalizika kwa bao 2-0 ikiwa ni jumla ya bao 5-0 ikiwa ni jumla ya mchezo wa kwanza na wa pili. Serengeti sasa baada ya kuvuna ushindi huo mkubwa wanapanda ndege kwenda Jijini Dar es Salaam kucheza na Timu ya U-17 ya Ghana Jumatatu mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mchezo huo utatanguliwa na hafla ya kuagwa kwa kukabidhiwa benderaWachezaji wa Timu ya Serengeti Boys wakimpongeza mfungaji wao wa bao la pili Ibrahim Abdallah
Shangwe kwa Vijana maarufu kwa Jina Serengeti Boys baada ya kuibuka Kidedea kwa bao 2-0 kwa kuitandika Burundi (U17) kwenye Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba leo.
» BONGO FLEVA ZA KITAMBO (TBT) – Click Here

» Diamond Platnumz - NYIMBO MPYA – Click Here

»ZUCHU - NNYIMBO MPYA – Click Here

» HARMONIZE - NYIMBO MPYA – Click Here
» WCB WASAFI - NYIMBO MPYA – Click Here
»NIGERIA - Songs – Click Here
»AMAPIANO - MUSIC – Click Here
BONYEZA HAPA KUPAKUA NYIMBO ZOTE MPYA
Share On:
CLICK HERE TO PROMOTE YOUR MUSIC/VIDEO
-
AUDIO Machalii Watundu – Vitu Vyetu
-
AUDIO AUDIO | Shatta Wale – I Want To Be Like Bandana | Download Mp3
-
AUDIO AUDIO | Feid Ft Rema – Bubalu | Download Mp3
-
AUDIO P-Funk Majani Ft Billnass X Orbit Makaveli X Otuck William – Niko Bize
-
AUDIO Royazdad Ft Harmonize – Bembeleza
-
AUDIO Siena ft Kusah – Tunakiwasha Mp3 Download Audio
-
AUDIO Beka Flavour – Doli Doli Mp3 Download (Audio)
-
AUDIO Barnaba – Nawaza Mp3 Download Audio
-
AUDIO Yammi – Tiririka (Acoustic) Audio Download Mp3
-
AUDIO Ish Kevin Ft Young Lunya – BST