Uncategorized

SHEMEJI WA.COM


Dj Mwanga Nyimbo Mpya 2023, WCB Nyimbo Mpya, Bongo Fleva Mpya, Nyimbo mpya 2023WCB Nyimbo Mpya, Zuchu Nyimbo Mpya Audio, Diamond Platnumz Nyimbo Mpya, Zuchu Nyimbo Mpya Audio, Diamond Platnumz Nyimbo Mpya,   Stream and Download the latest new Songs released 2023 from your favorite Artists and enjoy Mp3 Music Audio and HD New Song Videos of different Styles such as Bongo flava, Hip Hop, Afrobeats, Kwaito, House, Amapiano, Gospel, Makossa & More. New from Tanzania and neighboring African countries too Xxltz media New Song 2023.And if you dont care, Please Share This WebSite To other people and other social networks so. that they can be the first to get updates of new songs from inside and outside East Africa on your social accounts and keep visiting us for latest updates on Music and all Entertainment news from Tanzania,Nigeria Music,South Africa Music,Congo Music, and other African countries as well Nyimbo Mpya 2023.

485955_120403471467689_1181197538_n550853_102204699940648_1632529668_n‘Shairi lifuatalo ni utenzi wakubuni haujaakisi tukio wala kisa chakweli kutoka kwenye jamii, utenzi huu unaakisi hali ya maisha yalivyo kwa sasa na undugu usivyo na thamani katika mapenzi

alinifata chumbani
muda natoka kuoga
akanivaa mauongoni
ukanitawala woga
nguo kazitupa chini
shemeji wa dot.com

kaka yako hayupo
kasafiri kitambo
shemeji jilie vyako
usizilete Tambo
nina haja mwenzako
shemeji wa dot.com

ndani mimi nawewe
wengine hawatajua
shemeji haki nipewe
nateseka wajua
nataka nishughulikiwe
shemeji wa dot.com

butwaa lanipumbaza
naota ama nikweli
kichwani najiumiza
niache au nikubali
shetani kampumbaza
shemeji wa dot.com

umbo lake namba
mtupu maungo yake
kaidondosha khanga
aibana sauti yake
dhamira kaipanga
shemeji wa dot.com

hatunazo tena nguo
nikama tumezaliwa
ni lipi langu chaguo
shemeji asisitizia
nasita kusema sio
shetani kasimamia

shemeji wa dot.com
anivuta kitandani
naanza kujilaumu
kuna mtu mlangoni
yanisisimka damu
wanivaa uhayawani.

tamaa yanikimbia
hodi sasa naisikia
nikaka anigongea
niwapi ametokea
tamaa yaniponzea
shemeji wa dot.com

nafsi lawamani
kaka namwambia nini
mkewe chumbani
kwangu kafata nini
udugu hatiani
shemeji wa dot.com

ka..ka kaaa…karibu
sio kwa kusita huku
mwenzenu yamenisibu
hisia kama chiriku
ifuatayo ni aibu
shemeji wa dot.com

mlango haujafungwa
kaka chumbani aingia
fumanizi limetunga
usaha umepasuliwa
nawezaje kupinga
kaka anachojionea

shemeji wa dot.com
ajabu anikimbia
mikononi nina damu
ya usaliti yanukia
moyo wa mwanadamu
una siri kupindukia

mtoto wa mama
mdogo wangu faraja
siamini nachokiona
nastaajabu kioja
kaka yangu asema
aibu lanikaba

sina hukumu yako
rejea tu nyumbani
kwa hii tabia yako
huwezi kuishi nami
ikusute nafsi yako
shemeji wa dot.com

zote juu porojo
wala hazisisimui
utenzi huu mikogo
ukweli huujui
kaka kumbe muongo
kujifanya hajui

njama wamezipanga
yeye na mkewe ndani
majukumu kumshinda
kakosa afanye nini
usaliti kauunda
kuniweka hatiani

ukweli wote anao
mdada wao wakazi
kasikia njama zao
nafsini ikamuudhi
amesharudishwa kwao
kwakujifanya mjuzi.

shemeji wa dot.com
kaka wa dot.com
wamenirudisha dom
kupinga majukumu
mgeni kwao sumu
uko wapi ubinadamu??

BONYEZA HAPA KUPAKUA NYIMBO ZOTE MPYA

 

Share On:CLICK HERE TO PROMOTE YOUR MUSIC/VIDEO
YOU MAY ALSO LIKE