Uncategorized

Mzee Yusuph Amuota Daimond Aandika mambo mazito,Soma Hapa


Bongo Fleva Mpya, Nyimbo mpya 2023, WCB Nyimbo Mpya, Bongo Fleva Mpya, Nyimbo mpya 2023, WCB Nyimbo Mpya, Zuchu Nyimbo Mpya Audio, Diamond Platnumz Nyimbo Mpya,   Stream and Download the latest new Songs released 2023 from your favorite Artists and enjoy Mp3 Music Audio and HD New Song Videos of different Styles such as Bongo flava, Hip Hop, Afrobeats, Kwaito, House, Amapiano, Gospel, Makossa & More. New from Tanzania and neighboring African countries too Xxltz media New Song 2023.And if you dont care, Please Share This WebSite To other people and other social networks so. that they can be the first to get updates of new songs from inside and outside East Africa on your social accounts and keep visiting us for latest updates on Music and all Entertainment news from Tanzania,Nigeria Music,South Africa Music,Congo Music, and other African countries as well Nyimbo Mpya 2023.

WP_20170331_23_44_03_Rich (2)

  Msanii nguli aliyestaafu muziki wa Taarabu Mzee Yusuf huwezi kumtupa nje ya mitandao yakijamii ingawaje ametangaza kuachana na muziki wa kidunia na kuamua kumtumikia Allah lakini bado humkosi mitandaoni.

  Leo mapema alivamia kwenye ukurasa wa Instagram Diamond Platnumz na kuacha Comment ambayo ilisomeka kama ushauri wake alioupata akiwa kwenye jozi na ushauri huo ambao aliupata kwenye ndoto ulisomeka “Aslam aleykum kama ndugu yangu katika imaan leo nimekuota ukiwa unasoma QUR ANI tena kwa sauti nzuri sana naona si jambo la kulificha maana kwa nini nikuote ww sasa nakusihi usiache leo kusali ijumaa na sala nyengine labda Allah ana jambo jema kwako maana yy ndio muongowaji wa waja. Swali Allah akulipe mazuri zaidi ya hayo unayoyafikiria kichwani mwako. Mwenzyezi Mungu akutie nguvu na imani insha Allah. Amiin”

  Hata hivyo Mzee Yusuf amekazia kwa kujibu baadhi ya mashabiki wa Diamond Platnumz kuwa anamtakia kila la kheri kwenye muziki wake ila siku moja afikirie kuachana na mambo ya Kidunia na kurudi kumtumikia Allah kama yeye alivyojitolea.
  .
  Je kumtafuta Diamond instagram ni sawa au si saw??? Na Je umelipokeaje hili??? .
  TOA MAONI YAKO HAPA

  BONYEZA HAPA KUPAKUA NYIMBO ZOTE MPYA

   

  Share On:  CLICK HERE TO PROMOTE YOUR MUSIC/VIDEO
  YOU MAY ALSO LIKE

0 Responses

Leave a Reply