Trump: tutaidhibiti Korea kaskazini
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa Marekani itajiandaa yenyewe kuchukua hatua dhidi ya vitisho vya Nuklia vinavyoonyeshwa na Korea kaskazini. Katika mahojiano na Gazeti la Financial Times, Trump amenukuliwa akisema ”kama China haitafanya chochote dhidi ya Korea kaskazini, sisi tutafanya”. Majaribio ya makombora ya hivi karibuni yaliyotekelezwa na Korea kaskazini, yatawaleta ana kwa ana…