Close Menu
NYIMBO MPYA 2025NYIMBO MPYA 2025
  • Home
  • AUDIO
  • VIDEOS
  • Dj Mix
  • Gospel
Facebook X (Twitter) Instagram
Facebook X (Twitter) Instagram
NYIMBO MPYA 2025NYIMBO MPYA 2025
Button
  • Home
  • AUDIO

    AUDIO | Rasco Sembo Ft Carpoza – Tukaombee | Download Mp3

    August 11, 2025

    AUDIO | Lava Lava  Ft  Billnass– VIP | Download Mp3

    August 11, 2025

    AUDIO | Lava Lava  – Kiss Me | Download Mp3

    August 11, 2025

    AUDIO | Lava Lava Ft. Yammi  – Aste Aste | Download Mp3

    August 11, 2025

    AUDIO | Lava Lava  – Ningefanyaje | Download Mp3

    August 11, 2025
  • VIDEOS
  • Dj Mix
  • Gospel
NYIMBO MPYA 2025NYIMBO MPYA 2025
Home » Mambo 7 ambayo utayapata ukila Mayai ( MAKALA )
Uncategorized

Mambo 7 ambayo utayapata ukila Mayai ( MAKALA )

Dj StarBoyBy Dj StarBoyNovember 18, 2016No Comments2 Mins Read
Facebook Twitter Pinterest Telegram WhatsApp

Listen to the Latest Hits Songs, Download Mp3 From Your Favorite Artists From Your Country Like, Diamond Platnumz, Zuchu, Wizkid, Harmonize, Burnaboy, Marioo, Jay Malody And Many More Sing the most popular English and Kiswahili songs, French songs and other popular songs in this zone on XXLTZ MEDIA.

 

Download Nyimbo Mpya 2025 HAPA

Mambo 7 ambayo utayapata ukila Mayai ( MAKALA )

Mayai yana wingi wa protini,ni vizuri kutumia mayai kwa kujenga mwili wako. Haya ndio mambo yatakayo tokea katika mwili wako ukila mayai;

1. Inapunguza matatizo ya moyo
Japo mayai yanaweza kuongeza choresterol kwa baadhi ya watu ila utafiti unaonyesha ulaji wa mayai una uwezo mkubwa wa kufyeka hatari ya kupata matatizo ya mishipa ya moyo

2. Inaongeza Kinga ya mwili
Ukitaka uwe mbali na maambuki ya bacteria au virusi,tumia yai kwa kila mlo. Yai moja lina asilimia
22 ya RDA ya Selenium, virutubisho vinavyosaidia na kuongeza kinga ya mwili

3. Inarekebisha choresterol 
Mayai yanaweza kurekebisha mfumo wa choresterol. Mayai yana uwezo wa kuongeza HDL iliyo nzuri na inaongeza ukubwa wa chembe za LDL

4. Itakuongezea vitamins
Mayai yana asilimia 15 za RDA ya vitamini B2,pia inajulikana kama riboflavin. Itakusaidia kubadilisha chakula na kuwa mafuta ambayo itakusaidia kutengeneza nguvu.

5. Kurutubisha ngozi na nywele
B-complex vitamins vitaipa afya ngozi yako, nywele, macho na ini (zaidi ya B2,yai pia lina B5 na B12 Vitamin)

6. Inakinga Ubongo wako
Mayai ni chakula cha ubongo,hii ni kutokana na wingi wa virutubisho aina ya choline.

7. Ina imarisha Mifupa na Meno
Mayai yana vitamini D, ambayo ni muhimu kwa afya ya mifupa na meno.

Hadithi
Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Dj StarBoy
  • Website

Related Posts

Hello world!

June 23, 2025

Hello world!

June 18, 2025

AUDIO | Mmanja The Boy Ft. Mudy Msanii – USIA | Download Mp3

May 22, 2025
Leave A Reply Cancel Reply

LATEST POST
AUDIO MPYA

AUDIO | Rasco Sembo Ft Carpoza – Tukaombee | Download Mp3

By Dj StarBoyAugust 11, 20250

AUDIO | Rasco Sembo Ft Carpoza – Tukaombee | Download Mp3 https://dl.muingizanyimbotz.com/uploader/download.php?file=Rasco+Sembo+Ft+Carpoza+%E2%80%93+Tukaombee.mp3 Download…

AUDIO | Martha Baraka – Hauniwezi | Download Mp3

August 11, 2025

AUDIO | Bella Kombo – Majitu Makubwa Chini | Download Mp3

August 11, 2025

AUDIO | Lava Lava  Ft  Billnass– VIP | Download Mp3

August 11, 2025

AUDIO | Lava Lava  – Kiss Me | Download Mp3

August 11, 2025

AUDIO | Lava Lava Ft. Yammi  – Aste Aste | Download Mp3

August 11, 2025

AUDIO | Lava Lava  – Ningefanyaje | Download Mp3

August 11, 2025

AUDIO | Lava Lava  – Ngekewa | Download Mp3

August 11, 2025

EP – Lava Lava – Time

August 11, 2025

AUDIO | Linex – Toto | Download Mp3

August 11, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram YouTube WhatsApp TikTok
  • Home
  • AUDIO
  • VIDEOS
  • Dj Mix
© 2025 XXLTZ MEDIA.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.