Close Menu
XXLTZ MEDIAXXLTZ MEDIA
  • AUDIO
  • VIDEOS
  • ALBUM / EP
  • DJ MIX
  • E NEWS
  • GOSPEL
  • CONTACT US
Facebook X (Twitter) Instagram
XXLTZ MEDIAXXLTZ MEDIA
  • AUDIO
  • VIDEOS
  • ALBUM / EP
  • DJ MIX
  • E NEWS
  • GOSPEL
  • CONTACT US
XXLTZ MEDIAXXLTZ MEDIA
Home Β» FAQ

FAQ

MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA (FAQ) – NGOMAKALI1.COM

1. Ngomakali1.com ni tovuti ya aina gani?

Ngomakali1.com ni blog ya muziki na burudani inayokuletea nyimbo mpya, video za muziki, album, EP pamoja na habari za wasanii na matukio ya entertainment kutoka Tanzania na nje ya nchi.

2. Je, kutumia Ngomakali1.com ni bure?

Ndiyo. Kutembelea na kusoma maudhui yote yaliyopo kwenye Ngomakali1.com ni bure kabisa kwa watumiaji wote.

3. Tovuti inasasishwa mara ngapi?

Tunasasisha maudhui kila siku kwa kuweka nyimbo mpya, trending songs, na habari za burudani ili kuhakikisha wasomaji wetu wanapata updates kwa wakati.

4. Naweza kutangaza muziki au biashara yangu kupitia Ngomakali1.com?

Ndiyo. Tunatoa huduma za promotion kwa wasanii, brand, waandaaji wa matamasha na biashara mbalimbali zinazotaka kufikia wapenzi wa muziki wengi zaidi.

Wasiliana nasi kupitia:

πŸ“§ Email: djstarboi.com@gmail.com
πŸ“ž Simu / WhatsApp: 0710707007

5. Ninawezaje kupata updates za nyimbo mpya?

Tembelea mara kwa mara tovuti yetu kupitia www.ngomakali1.com ili kupata nyimbo mpya na habari za burudani kila siku.

6. Je, mnapost muziki wa Tanzania pekee?

Hapana. Ingawa tunazingatia sana muziki wa Tanzania kama Bongo Fleva, Singeli, Gospel na Taarab, pia tunachapisha muziki wa Afrika na kimataifa kulingana na trend.

7. Naweza kupendekeza wimbo au habari?

Ndiyo. Unaweza kututumia mapendekezo yako kupitia email au WhatsApp, na timu yetu itayafanyia kazi haraka iwezekanavyo.

8. Nawezaje kuwasiliana na Ngomakali1.com?

πŸ“§ Email: djstarboi.com@gmail.com
πŸ“ž Simu / WhatsApp: 0710707007

LATEST POST
AUDIO

AUDIO | Chidi Benz – I’m Coming | Download Mp3

By Dj StarBoyApril 17, 20260

AUDIO | Chidi Benz – I’m Coming | Download Mp3 Free stream and download Nyimbo…

Download VIDEO | Rumy Mero Ft Lody Music – RAHA

April 17, 2026

Download VIDEO | Marioo – Sugar

April 17, 2026

Download VIDEO | Kusah Ft Harmonize – Kama Sio

April 17, 2026

AUDIO | Phany Love – Stress | Download Mp3

April 17, 2026

AUDIO | Sheby Kinanda (Kauthar Hassan) – Sichambi Umbea | Download Mp3

April 17, 2026

AUDIO | Paul Clement Ft. Janice Wanjiru – Holy Spirit | Download Mp3

April 17, 2026

AUDIO | Marioo – SUGAR | Download Mp3

April 17, 2026

AUDIO | Kusah Ft Harmonize – Kama Sio | Download Mp3

April 17, 2026

AUDIO | Yammi Ft. Darassa – Nichum | Download Mp3

April 17, 2026
Trending post
AUDIO

AUDIO | Marioo – SUGAR | Download Mp3

By Dj StarBoyApril 17, 20261

AUDIO | Marioo – SUGAR | Download Mp3 SUGAR” is a new music release by…

AUDIO | Kusah Ft Harmonize – Kama Sio | Download Mp3

April 17, 2026

AUDIO | Yammi Ft. Darassa – Nichum | Download Mp3

April 17, 2026

AUDIO | Aslay – Natulia | Download Mp3

April 10, 2026

Nyimbo Mpya Wiki Hii 2026

April 6, 2026

AUDIO | Rachats Classic Ft. Mbosso – Mimi Ni Nani | Download Mp3

April 6, 2026

Mbosso Mimi Ni Nani | Download Mp3

April 5, 2026

AUDIO | Chino Kidd Ft. S2kizzy – Fashion | Download Mp3

April 3, 2026

AUDIO | Zuchu – I Love You | Download Mp3

March 31, 2026

AUDIO | Lady Jaydee – Free | Download Mp3

March 27, 2026
JOIN US
  • Instagram
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Pinterest
  • Facebook
Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
  • HOME
  • DMCA
  • FAQ
  • CONTACT US
  • About Us
Β© 2026 Ngomakali1.com. All Rights Reserved.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.