MBWANA SAMATTA AZIDI KUWASHA MOTO ULAYA,AFUNGA TENA TIMU YAKE IKISHINDA BAO 4

Screen-Shot-2017-04-01-at-11.11.53-PMLigi Kuu Ubelgiji imeendelea tena leo Jumamosi ya April 1 2017 kwa KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta kuikaribisha Lokeren katika mchezo wao wa kwanza wa play offs wa Kundi B wa Ligi Kuu Ubelgiji.Mbwana Samatta ambaye alikuwa katika kikosi cha kwanza cha KRC Genk kilichocheza dhidi ya Lokeren alifanikiwa kuisaidia timu yake ya KRC Genk kupata ushindi wa goli 4-0, Mbwana Samatta akifunga goli la pili dakika ya 72Screen-Shot-2017-04-01-at-11.11.35-PMGoli la kwanza la Genk lilifungwa na Pozuelo dakika ya 45, goli la tatu lilifungwa na Boetius dakika ya 77 la mwisho lilifungwa na Jose Naranjo aliyeingia dakika ya 84 akitokea benchi na kufunga goli dakika ya 90, ushindi huo umeifanya KRC Genk kuongoza Kundi B lenye timu sita kwa kuwa na magoli mengi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

mersin escort yeni