Marco wa Zabron Singers afariki dunia | E NEWS
Marco wa Zabron Singers afariki dunia | E NEWS Mwimbaji wa kundi la Zabron Singers, Marco Joseph amefariki dunia kwa ugonjwa wa Moyo jana usiku akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Shemeji wa marehemu, Tecla Lucas ameiambia Mwananchi leo Agosti 22, 2024 kuwa mwili wa marehemu bado upo kwenye chumba cha kuhifadhia…