Msikilize Mtoto wa Beyonce na Jay Z alivyorap kwenye ‘4:44’

Mtoto wa nyoka ni nyoka. Blue Ivy mwenye miaka 5 kutoka kwenye familia ya Beyonce na Jay Z ameonyesha kufuata nyayo za wazazi wake.

Ivy amesikika akifreestyle kwenye “Blue’s Freestyle/We Family” wimbo ambao unapatikana katika albamu mpya ya Jay, 4:44, kwa muda wa sekunde 45.
“Never seen a ceiling in my whole life. Boom shakalaka, boom shakalaka, everything in shaka, everything in faka,” amerap mtoto huyo kwenye freestyle hiyo. Msikilize Blue Ivy hapa chini alivyorap kwenye ngoma hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

mersin escort yeni