Ommy Dimpoz aachia wimbo ‘Cheche’ baada ya kutua RockStar4000

Msanii wa muziki, Ommy Dimpoz ameachia wimbo wake mpya ‘Cheche’ ikiwa ni saa chache toka atangaze kusaini katika label ya RockStar4000. Wimbo huo ameuachia kupitia mtandao wa kuuza nyimbo za wasanii Starboy.com

Muimbaji huyo kwa sasa ameungana na Alikiba ambaye alijiunga na label hiyo miaka 6 iliyopita, ambapo wiki iliyopita alitangazwa kuwa mmoja kati ya wamiliki wa label hiyo.
Pia label hiyo nchini Tanzania inafanya kazi na muimbaji Lady Jay Dee pamoja na Baraka The Prince.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

mersin escort yeni