Jinsi ya kutumia sekunde tatu kumtongoza mwanamke ( MAKALA )

Jinsi ya kutumia sekunde tatu kumtongoza mwanamke ( MAKALA )

Habari za muda huu mdau na mfuatiliaji wa makala mbalimbali zinazokujia kupitia mtandao huu wa XXLTZ MEDIA bila shaka umzima wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku.

Naomba nichukue walau dakika zako chache kuweza kukujuza mbinu hii ya sekunde tatu kuweza kumtongoza mwanamke yule umtakaye na endapo utatumia sekendu hii tatu mwanamke huyo ni lazima atakuwa wako.

Sekunde tatu ni sekunde za maangamzi dhidi yako na yule unayemuona mbele yako. Endapo ukimwona mwanamke ambaye unataka kumtongoza, kwa kawaida kuna zile sekunde tatu za kwanza ambapo unafaa uchukue hatua kabla ile sauti ambayo inajaribu kuongea na wewe kukuzuia kufanya hivyo.

Tunasisitiza uchukue hatua ya kuweza kumtongoza mwanamke huyo ndani ya sekunde tatu kwani ukishindwa kufanya hivyo basi mwanamke huyo atapita bila ya wewe kuweza kufanya hivyo.

Kila mwanaume akichelewa kuapproach mwanamke kuna ile sauti ambayo inaanza kukuongelesha kwamba sijui hamna kitu hapo, hii ndiyo ile sauti ambayo inawafanya wanaume wengi wabaki kuwa single milele.

kwahiyo la kufanya hapa ukimwona mwanamke unayetaka kumuapproach basi fanya fasta. Una sekunde tatu za kuweza kufanikisha mpango mzima la sivyo kila msichana mzuri anayepita mbele ya macho yako utaendelea kumuita shemaji.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

mersin escort yeni