Close Menu
NYIMBO MPYA 2025NYIMBO MPYA 2025
    Facebook X (Twitter) Instagram
    NYIMBO MPYA 2025NYIMBO MPYA 2025
    Facebook X (Twitter) Instagram
    NYIMBO MPYA 2025NYIMBO MPYA 2025
    Home » Jinsi ya kutumia sekunde tatu kumtongoza mwanamke ( MAKALA )
    VIDEOS

    Jinsi ya kutumia sekunde tatu kumtongoza mwanamke ( MAKALA )

    Dj StarBoyBy Dj StarBoyFebruary 18, 2021No Comments1 Min Read
    Facebook Twitter Telegram WhatsApp
    Download Now

    Jinsi ya kutumia sekunde tatu kumtongoza mwanamke ( MAKALA )

    Habari za muda huu mdau na mfuatiliaji wa makala mbalimbali zinazokujia kupitia mtandao huu wa XXLTZ MEDIA bila shaka umzima wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku.

    Naomba nichukue walau dakika zako chache kuweza kukujuza mbinu hii ya sekunde tatu kuweza kumtongoza mwanamke yule umtakaye na endapo utatumia sekendu hii tatu mwanamke huyo ni lazima atakuwa wako.

    Sekunde tatu ni sekunde za maangamzi dhidi yako na yule unayemuona mbele yako. Endapo ukimwona mwanamke ambaye unataka kumtongoza, kwa kawaida kuna zile sekunde tatu za kwanza ambapo unafaa uchukue hatua kabla ile sauti ambayo inajaribu kuongea na wewe kukuzuia kufanya hivyo.

    Tunasisitiza uchukue hatua ya kuweza kumtongoza mwanamke huyo ndani ya sekunde tatu kwani ukishindwa kufanya hivyo basi mwanamke huyo atapita bila ya wewe kuweza kufanya hivyo.

    Kila mwanaume akichelewa kuapproach mwanamke kuna ile sauti ambayo inaanza kukuongelesha kwamba sijui hamna kitu hapo, hii ndiyo ile sauti ambayo inawafanya wanaume wengi wabaki kuwa single milele.

    kwahiyo la kufanya hapa ukimwona mwanamke unayetaka kumuapproach basi fanya fasta. Una sekunde tatu za kuweza kufanikisha mpango mzima la sivyo kila msichana mzuri anayepita mbele ya macho yako utaendelea kumuita shemaji.

    Download Now
    Hadithi
    Share. Facebook Twitter Pinterest Telegram WhatsApp Copy Link
    Dj StarBoy
    • Website

    Related Posts

    VIDEO | Lady Jaydee – Bwana Angu

    June 2, 2025

    VIDEO | Msaga Sumu Ft Jetty Mc – Amina

    June 2, 2025

    VIDEO | Asala – BABU

    June 1, 2025
    Leave A Reply Cancel Reply

    This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

    trending post
    AUDIO

    Diamond Platnumz Ft. Bien – Katam | Download Mp3

    By Dj StarBoyJune 10, 20250

    Diamond Platnumz Ft. Bien – Katam | Download Mp3, Nyimbo Mpya 2025 za Bongo Fleva,…

    AUDIO | Yammi – Raha | Download Mp3

    June 5, 2025

    AUDIO | D Voice Ft Zuchu – Baby Mpya | Download Mp3

    June 1, 2025

    AUDIO | Jux Ft. D Voice – Ex Wa Nani | Download Mp3

    May 22, 2025

    AUDIO | Rayvanny Ft Marioo X Harmonize – Pere | Download Mp3

    May 22, 2025

    AUDIO | Barnaba Ft Diamond Platnumz – Salama | Download Mp3

    May 15, 2025

    AUDIO | Chella Ft Diamond Platnumz – My Darling Remix (Mpenzi wangu) | Download Mp3

    May 15, 2025

    AUDIO | Asala – Babu | Download Mp3

    May 15, 2025

    AUDIO | Jay Melody – Jirani | Download Mp3

    April 30, 2025

    AUDIO | Dogo Paten Ft. Zuchu – Afande | Download Mp3

    April 27, 2025
    JIUNGE NASI
    • Facebook
    • Instagram
    • YouTube
    • TikTok
    • Telegram
    • WhatsApp
    LATEST UPDATES
    AUDIO

    Diamond Platnumz Ft. Bien – Katam | Download Mp3

    By Dj StarBoyJune 10, 20250

    Diamond Platnumz Ft. Bien – Katam | Download Mp3, Nyimbo Mpya 2025 za Bongo Fleva,…

    AUDIO | Diamond Platnumz Ft. Masterpiece Yvk – Babu | Download Mp3

    June 10, 2025

    AUDIO | Lomodo – Kiuno | Download Mp3

    June 10, 2025

    AUDIO | Kusi Mc – Wamilele | Download Mp3

    June 10, 2025

    AUDIO | Msaga Sumu – Mungu wangu | Download Mp3

    June 10, 2025

    AUDIO | Inzaghi – Ntaumia | Download Mp3

    June 10, 2025

    AUDIO | Mr Blue Ft Young Lunya x Moni Centrozone – You | Download Mp3

    June 10, 2025

    AUDIO | Centano – Nimechelewa | Download Mp3

    June 10, 2025

    AUDIO | Niconame – Ukuu Wa Mungu | Download Mp3

    June 10, 2025

    AUDIO | Easyman – Nakesha Nayo | Download Mp3

    June 10, 2025
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    © 2025 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.