Mwanamke ukiwa na tabia hizi 7, lazima mwanaume akukimbie ( MAKALA )

Mwanamke ukiwa na tabia hizi 7, lazima mwanaume akukimbie ( MAKALA ) 1. CHOKOCHOKO Wanaume wengi huwa hawapendi chokochoko. Hawapendi mwanamke ambaye yeye kila wakati ni kuanzisha chokochoko ambazo zinazalisha ugomvi. Wanaume wengi hawapendi mabishano. Hawapendi ugomvi hivyo mwanamke anapokuwa hodari wa kuleta chokochoko, huepukwa. Ni vyema basi mwanamke akachunga kauli. Akawa si mtu wa…

Read More
mersin escort yeni