2017
Lifahamu kundi hili jipya la Bongo Hip Hop “SSK”
SSK ni kundi jipya la Hip Hop linaloundwa na Wakazi, Zaiid, P The MC na Cjamoker (Producer). Muunganiko wa emcees hawa wenye ladha tofauti nao umeweza kuzaa kitu tofauti ambacho hakijazoeleka kutoka kwao wakiwa wanafanya kazi as solo artists. Wakizoeleka kama punchline rappers, SSK kwa ujumla wamefanikiwa kubadilisha dhana hiyo na kuweza kufanya Muziki ambao unalenga mambo ya kijamii hususan…