Historia fupi ya maisha ya Alikiba [ MAKALA ]

Historia fupi ya maisha ya Alikiba [ MAKALA ]

Ali Saleh Kiba (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ali Kiba; pia:King Kiba; alizaliwa 1986) ni mwanamuziki wa Tanzania, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo chini ya lebo ya Rockstar4000.

Ali Kiba, Ni mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia ya watoto wanne, ambaye mdogo wake pia ni mwanamuziki wa Kitanzania.

Ana vipaji vilivyo tofauti na wasanii wenzake, hivyo amejikita sehemu nyingine kwa kusajiliwa na Coastal Union kucheza mpira wa miguu kwa msimu wa 2018/2019 wa Vodacom Premier League.


Mwaka 2011, Ali Kiba alichaguliwa kama “msanii wa kwanza wa Afrika Mashariki” – Tanzania, Kenya na Uganda. Kwa mwaka 2015 ameshinda tuzo tano za Kili awards.

Tarehe 20 Mei 2016, kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na muziki “Sony Music Entertainment” ilitangaza kumsainisha mkataba wa kufanya kazi na Ali Kiba.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

mersin escort yeni