Baraka The Prince ana akili za kitoto – Alikiba
Muimbaji Alikiba ambaye hivi karibuni ametangazwa na RockStar4000 kuwa mmoja kati ya wamiliki wa label hiyo, amefunguka kwa kudai kuwa msanii wa label hiyo, Baraka The Prince ana akili za kitoto ndio maana kuna maadhi ya mambo yanaibuka kwamba haelewani na baadhi ya wasanii wenzake. Hit maker huyo wa Aje amesema hayo baada ya kuulizwa…