Browse

Categories

Company

VIDEO ||| Ben Pol ||| Ebitoke ||| Hayawi Hayawi Sasa Yamekua Read more……

Posted On: June 25, 2017 By NYIMBO MPYA 2024
Stream and Download Nyimbo Mpya 2024 Bongo Fleva Mpya 2024 latest new Songs released 2024 from your favorite Artists and enjoy Mp3 Music Audio and HD New Song Videos of different Styles such as Bongo flava, Hip Hop, Afrobeats, Kwaito, House, Amapiano, Gospel, Zouk/Rhumba & More.

Download Nyimbo Mpya

PLAY
SHARE
   17

Mwimbaji wa RnB Ben Pol katika kuthibitisha kuguswa na ombi la mchekeshaji Ebitokealiyetaka wafunge naye ndoa alipost picha kwenye Instagram yake na kuandika ujumbe wa shukrani kwa kuzipokea hisia zake.
Ebitoke
“Kwanza napenda kumshukuru sana Meneja wangu kwa sababu yeye ndiye alifanya mpaka mimi nikakutana na Ben Pol na pia nimefurahi sana nimekutana na Ben Pol kwa sababu ni ndoto ambayo nilikuwa naisubiria kwa muda mrefu sana. Nimetimiza ndoto yangu na ombi langu.
“Ben Pol ni mtu mzuri kwa ukweli, nilivyokutana naye mwenyewe alifurahi sana. Kuniona mimi ali-appreciate mwenyewe nilifurahi. Alikuwa kwenye furaha ya ajabu ambayo sikutegemea.
“Nilitegemea kwamba nikikutana na Ben Pol atanichukulia sijui mtu gani lakini to be honest Ben Pol kanipokea vizuri sana na pia tumeongea mengi. Nimemuelezea hisia zangu ambazo nilikuwa nazielezea hadharani, ye mwenyewe nimemuelezea. Tumeongea vingi but sitaweza kuvisema vyote.” – Ebitoke.


    
                                               

More from || Ben

Featured Artists  View All