MSANII ||| RAYVANNY ANYAKUA TUZO YA BET WATCH NOW

Kwa mara ya kwanza tanzania tunaandika historia katika tuzo kubwa za BET, Rayvany Boy anatutoa kimasomaso kwa kutwaa tuzo hii ya Bet Rayvanny alikuwa kwenye Kipengele cha Viewer’s Choice Best New International Act 2017 

 🔥🔥👏👏 #Repost @diamondplatnumz ・・・ @rayvanny is THE BET Viewers Choice Best New International Act 2017 !!!!!!!!!!!!! WOOOOOOOOOYOOOOOOOO!!!!!!!….. Nikishindwa kwa Mkono wa Kulia, ntatumia hata Mkono wa Kushoto…..ila lazma ifike@Wcb_Wasafi TANZANIA!!!! Chkua hiyo😛 #Wcb_Wasafi #WinningTeam!!!!…Suit by@Speshoz

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

mersin escort yeni