Kundi la muziki wa Hip Hop kutoka mkoani Dodoma, Dom Down Click (DDC) limeachia mixtape yao yenye nyimbo 35 ndani yake.
Hii ni mixtape ya Pili kutoka kwa kundi hilo ambapo imetayarishwa na maproducer tofauti tofauti akiwemo Bin Laden wa Tongwe Records, Duke Tachez, Abizzo Beatz na wengine.