Hitmaker wa ngoma ya ‘waya’ anaetokea kwenye kundi la weusi, msanii Joh Makini sasa yuko mbioni kuitimiza adhma yake ya kufanya kolabo na msanii wa kutoka pande za Nigeria. Kama utakuwa ni mpekuzi mzuri wa mitandao ya kijamii tayari utakuwa umeweza kukutana na post ya Davido akiashiria ukamilifu wa ngoma hiyo.Kuwa Karibu na Application yako ya Starboytz.com uwe wakwanza kuipakuwa itakapo Toka