E NEWS

Kijana tajiri anayekwepa sheria Thailand


Bongo Fleva Mpya, Nyimbo mpya 2023, WCB Nyimbo Mpya, Bongo Fleva Mpya, Nyimbo mpya 2023, WCB Nyimbo Mpya, Zuchu Nyimbo Mpya Audio, Diamond Platnumz Nyimbo Mpya,   Stream and Download the latest new Songs released 2023 from your favorite Artists and enjoy Mp3 Music Audio and HD New Song Videos of different Styles such as Bongo flava, Hip Hop, Afrobeats, Kwaito, House, Amapiano, Gospel, Makossa & More. New from Tanzania and neighboring African countries too Xxltz media New Song 2023.And if you dont care, Please Share This WebSite To other people and other social networks.

_95387978_gettyimages-151213029

Kijana tajiri anayekwepa sheria Thailand

Vorayuth Yoovidhaya, mjukuu wa billionea aliyeanzisha kinywaji cha Red Bull, huenda tena asifike katika mahakama ya Bangkok kujibu mashtaka yanayohusu kifo cha afisa wa polisi.
Tarehe 3 Septemba mwaka 2012, afisa huyo wa polisi aligongwa na gari la kifahari aina ya Ferrari lilokuwa likiendeshwa na bwana Vorayuth.
Majaribio kadha ya utawala wa Thailand kumfikisha Vorayuth mbele ya sheria, yanaonekana kuwa mvutano na familia tajiri nchini humo.

BONYEZA HAPA KUPAKUA NYIMBO ZOTE MPYA

 

Share On:



CLICK HERE TO PROMOTE YOUR MUSIC/VIDEO
YOU MAY ALSO LIKE

0 Responses

Leave a Reply