Mambo 9 ya kuzingatia ili uishi maisha marefu ( MAKALA )
Mambo 9 ya kuzingatia ili uishi maisha marefu ( MAKALA ) Kuishi ukiwa na afya na kuishi maisha marefu kunawezekana kwa kubadili hali ya maisha unayoishi inayoharibu afya yako mfano uvutaji wa sigara, unywaji wa pombe kupita kiasi, kutokufanya mazoezi na kutokula matunda na mbogamboga. Mambo yanayoweza kukusaidia kuishi maisha marefu ni kama yafuatayo 1….